N-CARD 13 July 2020 by: admin in: ncardTags: ncard note: no comments Ni kadi ya malipo ambayo imetolewa na serikali ya Tanzania kwa lengo la kumrahisishia mwananchi kufanya manunuzi na malipo mbalimbali kwa njia salama zaidi bila kuhusisha ubebaji wa fedha taslimu.